Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, July 15, 2013

ANGALIA PICHA ZA WANAJESHI WALIOKUFA KATIKA MAPAMBANO NA WAASI DARFUR SUDANI



Vifo hivi viwakumbushe wanajeshi wetu kwamba watanzania wote ni ndugu na kwamba sote ni mavumbi na mavumbini ni lazima tutarudi. Mateso wanayoyafanya wanajeshi kwa raia wa Mtwara ni ya kinyama!!! Si ya kiutu hata kidogo!!! Ni bahati mbaya kwamba jeshi letu linatumiwa vibaya na wanasiasa!!! Mungu aturehemu sote na roho za wanajeshi hawa zipumzike kwa amani!


Askari hao waliokufa ambao walikuwa kwenye vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa huko nchini Sudan ni :-
1. Sajenti Shaibu Othuman, 
2. Koplo Oswald Chaula, 
3. Koplo Mohamed Juma, 
4. Koplo Mohamed Chikilizo, 
5. Pte. Rodney Ndunguru, 
6. Pte. Peter Werema,
7. Pte. Fortunatus Msofe.

No comments:

Post a Comment