Mrembo anayetamba kwenye filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu
‘Beautiful Onyinye’ au Madam jana alifuturu pamoja na wageni wake
nyumbani kwake Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wageni
waliofuturu pamoja na Wema ni pamoja na Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, Petit
Man ‘Wakuache’ na wengineo.
WALIMU WA ZANZIBAR WATEMBELEA TANGANYIKA DC
-
Walimu kutoka Zanzibar wamewasili Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kwa
ziara ya mafunzo na kubadilishana uzoefu na wataalam wa elimu, ili
kuimarisha mbi...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment