Saturday, July 20, 2013
Angalia Video Angalia jinsi jamaa alivyopambana na Papa kwa Mikono
Kama itatokea kwa wakazi Connecticut kumwona papa, basi haitakuwa vibaya kwani watamuita Elliot Sudal aje kuokoa jahazi maana mwanaume huyo ni maarufu na mashughuri kwa uwezo wake wa kucheza na kuwakamata viumbe hao hatari wa baharini, na ndo hapa tunauthibisha ule usemi wa waswahili usemao
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment