Kwa taarifa tulizopata ambazo siyo rasmi zinasema kuwa bakhresa atakuja na king'amuzi chake ambacho kitauzwa
Tshs.30000 na utalipia Tshs. 2000 kwa mwezi.Ina channel 100+. Mwenye
habari zaidi atujuze.
NAIBU WAZIRI AIPONGEZA TASAC KWA KUBORESHA HUDUMA ZA USAFIRI MAJINI
-
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile, amelipongeza Shirika la
Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kwa jitihada zake za kuendelea kuboresha
sekta y...
1 hour ago


No comments:
Post a Comment