DAH::TUMECHOKA NA WEZI WA VIFAA VYA MAGARI.ANGALIA PICHA JINSI GARI AINA YA IST ILIVYOKOMBWA VITU NA KUBAKI KAMA SCREPA
Gari aina ya Toyota ist
lenye namba T 635 CEP kama linavyoonekana pichani limeibiwa na wezi
vifaa mbalimbali eneo la Buguruni Chama usiku wa kuamkia leo kama
lilivyo kutwa na mwandishi wetu, hadi tunaondoka eneo la tukio saa 1:30
asubuhi mwenye gari alikuwa hajaonekana.
Kioo kidogo cha nyuma kilivunjwa na taa kung'olewa.
WALIMU WA ZANZIBAR WATEMBELEA TANGANYIKA DC
-
Walimu kutoka Zanzibar wamewasili Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kwa
ziara ya mafunzo na kubadilishana uzoefu na wataalam wa elimu, ili
kuimarisha mbi...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment