1075209_549133685123507_1472486328_n
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 Picha juu na chini ni Gari la kituo cha Afya Ilembo Mbeya Vijijini lakutwa likipakia abiria kama lilivyokutwa na mdau wetu.
Hii ni hatari gari la serikali mkuu wa kitiuo cha afya na dereva wanashirikiana. Mbalizi hadi Ilembo nauli ni Tshs. 4000. Mamlaka usika mpo wapi? Na Mdau Andrew Chale.
1079391_549123011791241_2034649769_n

1082222_549134038456805_1014666293_n
1081736_549135081790034_915678015_n