Hii ndio hali halisi ya tukio
Mkazi mmoja (Jina halifahamika) wa kijiji cha Itimbo amefariki papo hapo maeneo ya kinyambo katika mji mdogo wa Mafinga. Ajali hiyo iliyotokea mida ya mchana wakati marehemu akiwa pembeni mwa barabara alijikuta kavamiwa na tela la gari la magogo,
Imesemekana kua gari la mgogo lilipofika kwenye bamzi tela lake lilichomoka na kusababisha ajali mbaya sana.
NA Mafingaonline
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiMW95jszAA1zokIG4-8L6fZYNT1vI_KG7BCq_SBnDev3tbrC_zTINdAjfRZBCoAclF_lho5GdsmVBL5Gl0gsqZ0TfkAlGDFs93poQaM5kRq3YtFre-p6Qkt3-0vMaZx4eXVJQVPqvkuh8/s640/AJALI.jpg)
No comments:
Post a Comment