Sailendra Nath Roy (50) kazaliwa India amefariki dunia wakati akitaka
kuweka record ya kuvuka mto kwa kutumia nywere zake amabozo anakuwa
amezifunga kwenye waya mdogo ambao unakuwa umefungwa nywele zake. Lakini
kwa bahati mbaya alipofika katikati ya mto huo ndipo nywele
zilig'ang'ania kwenye waya huo na kujaribu kujinasua lakini
ikashindikana.
Roy alianza vizuri
Hapa ndio baada ya nyele za Sailendra Nath Roy kunasa na kuaza kujaribu kujinasua
Lakini ilishindikana na mauti yakamkuta
Wananchi wakijaribu kumvuta kumtoa alipofia baada ya nyele zake kig'ang'ania kwenye waya aliokuwa anautumia kwa kufungia nywele.chanzo audifacejackson blog
No comments:
Post a Comment