Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, July 29, 2013

LHRC YATOA TAARIFA YA NUSU MWAKA YA MATUKIO MBALIMBALI NCHINI KUANZIA JANUARY-JUNE 2013

1 Mtafiti wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu  (LHRC), Pasience Mlowe (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Julai 29, 2013, wakati akitoa taarifa ya nusu mwaka ya kuanzia  Januari hadi Juni 2013 ya kituo hicho kuhusu mambo  mbalimbali yaliyotokea nchini. Kushoto ni Mkurugenzi
wa Uwezeshaji na Uwajibikaji wa Kituo hicho Imelda Urio.

2 Mkurugenzi wa Uwezeshaji na Uwajibikaji wa Kituo  hicho Imelda Urio, akizungumza katika mkutano huo.

3 Mtafiti wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Pasience Mlowe (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo. Wengine ni watafiti wa kituo hicho
4Baadhi ya waandishi wa habari waliodhuria mkutano  leo
(PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)

No comments:

Post a Comment