| Mkuu wa wilaya ya Chunya Deodatus Kinawiro akiweka mkuki na ngao kuwakumbuka mashujaa waliokufa vitani |
| Mwakilishi wa mstahiki meya wa jiji la mbeya akiweka shada lake |
Mzee Ernest Waya akiweka upinde na mshale kuwakumbuka wenzake aliokuanao vitani enzi hizo...
|
| Chifu Lyoto alikuwepo kuweka mshda kuwakumbuka mashujaa |
| Viongozi mbali mbali wa dini waliwaombea duwa mashujaa wetu |
| Mzee Ernest Paulo Waya aliyepigana vita kuu ya pili vya Dunia alikuwepo kuwakumbuka wenzake Picha na Mbeya yetu |

No comments:
Post a Comment