Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, July 28, 2013

Man city yatwaa Barclays Asia baada ya kuitwanga Sunderland 1-0

man city 8ddc1
Vincent Company akiinua kikombe cha Barclays Asia (HM)

man city2 b5415
BAO pekee la Edin Dzeko limeipa ushindi Manchester City dhidi ya Sundeland katika michuano ya Barclays Asia Trophy jana, huo ukiwa ushindi wa pili kwa kocha Manuel Pellegrini Hong Kong baada ya kufungwa mechi zote mbili Afrika Kusini.

Kikosi cha Pellegrini kimefanikiwa kumaliza juu ya wapinzani wao wa England, Sunderland na Tottenham na kutwaa Kombe la michuano hiyo ya timu za Ligi Kuu.

Kikosi cha Manchester City kilikuwa: Pantilimon; Zabaleta, Kompany, Nastasic/Lescott dk75, Clichy/Kolarov dk62, Milner/Navas dk46, Toure/Fernandinho dk62, Garcia, Silva/Nasri dk46, Dzeko na Negredo/Barry dk79.

Sunderland: Mannone; Gardner, O’Shea, Brown, Colback; Johnson/Karlsson dk61, Larsson, Cabral/Ba dk46, Giaccherini/McClean dk76, Altidore/Wickham dk46 na Sessegnon/Mandron dk88. Chanzo: Sportsmail

No comments:

Post a Comment