John Mnyika
kaweka namba yangu ya simu ya mkononi ili watu wanipigie na kutukana.
Nadhani ni siasa isiyo ya kistaarabu. Hadi sasa nimepata messages zaidi
ya 600. Sio sahihi kabisa.
Wabunge WOTE tulishindwa kupitisha
maamuzi yenye maslahi kwa mtu wa kipato cha chini. Harakati za
mitandaoni haziondoi ukweli huo. Vilevile, kodi hii imepitishwa tarehe
29 Juni 2013. Kwa Mbunge ambaye alikuwa na wajibu
wa kulipinga siku hiyo na kulisemea kuanzia tarehe 30 Juni 2013 kuamka
leo na kutapatapa mitandaoni ni unafiki mkubwa na ni siasa za kuangalia
upepo unapovuma na ni unafiki mkubwa. Namheshimu Zitto Kabwe
kwasababu alitoa kauli immediately ya kusema anaona aibu kuwa sehemu ya
Bunge hili na kwamba wawakilishi wa wananchi wamewaangusha wananchi.
Mwenzake John Mnyika anajitoa fahamu na kufanya harakati kupitia press
releases.
Suluhisho hapa sio kulumbana wala kutupiana lawama.
Suluhisho ni kurudi Bungeni na kubadilisha pale tulipokosea. Sio
kutafuta umaarufu mitandaoni. Kunapotokea kosa, tunasahihisha haraka
then we move on. Siasa sio kwenye kila jambo
RAIS SAMIA ATOA AJIRA ZA WALIMU 14,648 KUPUNGUZA UHABA WA WALIMU NCHINI.
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma
Imeelezwa Kuwa Kuanzia tarehe 14 Januari hadi terehe 24 Februari, 2025,
usaili wa kada za Ualimu utaendeshwa na Ofisi...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment