Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, July 29, 2013

MCHEZAJI WA ZAMANI WA BIRMINGHAM BENITEZ 'CHUCHO' AFARIKI DUNIA KWA MSHTUKO WA MOYO


Mchezaji wa zamani wa Birmingham Christian Benitez amefariki dunia leo hii akiwa na miaka  27.

Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Ecuador maarufu kama   “Chucho”, mwezi uliopita tu alijiunga na klabu ya mashariki ya mbali ya El Jaish kwa ada ya uhamisho wa £10million.

Benitez, ambaye alikuwa akitakiwa na Tottenham, aliwahi kucheza kwa mkopo Birmigham katika msimu wa 2009-10.


Muda mchache uliopita chama cha soka cha Ecuador kimetoa taarifa rasmi na kusema 'Chucho' kutoka na mshtuko wa moyo.chanzo shaffih dauda

No comments:

Post a Comment