Katika majira ya saa moja jioni maeneo ya Mbezi Beach katika hosp ya MASANA mchumba wa msanii wa hip hop nchini
Mabeste amejifungua mtoto wa kiume. Ni furaha sana aliyonayo Mabeste now
na mungu ni mkubwa kwa kila jambo. Mungu awajalie maisha mapya
wanayoyaanza kwa sasa na wamlee mtoto wao kwa amani na furaha tele
WRRB YAJADILI MABORESHO YA KANUNI, YAWEKA MIKAKATI MIPYA YA MIAKA MITANO
-
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Bw.
Asangye Bangu, amesema Bodi inatarajia kuongeza bidhaa nyingine tano katika ...
1 hour ago


No comments:
Post a Comment