Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, July 16, 2013

NOKIA WATOA SIMU YENYE CAMERA YA 41 MEGAPIXEL ITAZAME HAPA


Sasa hii kiboko, kampuni ya Nokia wametengeneza simu aina ya Nokia Lumia 1020 ambayo camera inaukubwa wa 41 megapixel. Watalamu wameipongeza Nokia kwa kupeleka mobile photography to the next level.
At a launch event in New York, the firm said that the camera allows users to zoom in and reframe their photos without worrying about reducing image quality.

Watalamu bado wanawasiwasi kwamba hii hatua bado haitoshi kumwezasha nokia kupambana na kampuni kama Samsung na Aplle.
A new feature called dual capture also enables two photos to be taken simultaneously at once – one at a high-resolution of 38-megapixels and another at 5-megapixels which is easier to share on social networks.

Miaka miwili iliyopita kampuni ya nokia iliweza kuuza jumla ya simu 20 million za aina ya lumia ambazo zinatumua microsoft operating system. Ukilinganisha na kampuni kama Apple ambao wanadaiwa kuuza jumla ya simu 248 million wakati simu zinazotumia android (LG, Samsung, HTC, Sony Erickson) wameweza kuuza jumla ya simu 800 million

No comments:

Post a Comment