Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, July 13, 2013

NYUMBANI NI NYUMBANI::HASHEEM THABEET AWA KIVUTIO KWA MASHABIKI WALIOFIKA UWANJA WA TAIFA KUISHUHUDIA STARS IKIPAMBANA NA UGANDA


Mtanzania anayecheza kikapu katika Ligi ya Marekani maarufu kama NBA, Hasheem Thabeet, amekuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki wa soka kwenye Uwanja wa Taifa,Dar.
Thabeet anayecheza katika timu ya Thunder, aliibuka na kuwasalimia mashabiki wakati Taifa Stars ikivaa Uganda nao walimshangilia kwa nguvu sana.NA MDODOSAJI BLOG



1 comment: