Gari
Maalum la Hifadhi ya Kilimanjaro aina ya UNIMOG lililotengenezwa
Ujerumani linaloweza kuhimili njia ya kiutawala ya kufika hadi kituo
cha Kibo Mlimani Kilimanjaro likiwa limembeba mkuu wa mkoa wa
Kilimanjaro Leonidas Gama waandishi wa habari na maofisa wa hifadhi ya
mlima Kilimanjaro na TANAPA wakati wakikagua athari za moto uliotokea na
kuunguza baadhi ya maeneo ya mlima kilimanjaro
Wanahabari wakipanda gari hilo kwa ajili ya kuelekea kituo cha Horombo kuangalia athari za moto.
Safari ya kuelekea Horombo ikiendelea na Mlima Kilimanjaro ukionekana kwa mbali.
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2013/07/29.jpg)
![3](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2013/07/311.jpg)
![4](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2013/07/412.jpg)
![5](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2013/07/57.jpg)
![6](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2013/07/67.jpg)
![7](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2013/07/75.jpg)
![8](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2013/07/86.jpg)
![9](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2013/07/92.jpg)
![11](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2013/07/115.jpg)
Picha zote na mdau Pascal Shelutete
No comments:
Post a Comment