Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, July 23, 2013

TAIFA STARS YAONDOKA BILA KAPOMBE NA KAZIMOTO

 
Kapombe, Kazimoto hawamo kwenye kikosi cha Stars kilichoelekea Uganda kwenye mechi ya marudiano ya kutafuta tiketi ya kucheza Kombe la Mataifa ya Afrika.

Kocha Poulsen ametamba kuwageuzia kibao waganda na kuibuka na ushindi katika mechi hiyo ya marudiano.

Mwaka 2008 Stars iliwaondosha Uganda kwenye mashindano hayo kwa jumla ya mabao 2-0!

No comments:

Post a Comment