Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, July 18, 2013

TANZANIA YAPOKEA MKOPO WA BILIONI 87 ZA UJENZI WA VITUO VYA KUHIFADHIA VITAMBULISHO VYA TAIFA


saini 65Waziri wa Fedha Dkt.William Mgimwa na Mwenyekiti na  Rais  wa Benki ya Export Import ya Korea wakisaini  mkataba wa mkopo kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es Salaam.
kuangalia 71Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa na Mwenyekiti na  Rais  wa Benki ya Export Import ya Korea  wakiangalia mikataba ya mkopo baada ya kusaini kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es Salaam.
kuonyesha 77Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa kushoto akiwa na Mwenyekiti na  Rais  wa Benki ya Export Import ya Korea  wakionyesha mkataba wa mkopo wenye thamani ya shilingi billioni 87 za  kitanzania,waliosaini kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es Salaam.mabadilishano 68Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa (kushoto)akimpa mkono wa shukrani Mwenyekiti na  Rais  wa Benki ya Export Import ya Korea baada ya  kusaini  mkataba wa mkopo kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es Salaam. 
shukrani 84Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa  akitoa neno la shukrani kwa niaba ya Serikali ya Tanzania  kwa Mwenyekiti na  Rais  wa Benki ya Export Import ya Korea baada ya kusaini mkataba wa mkopo kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es Salaam.
Picha zote na Lorietha Laurence-Maelezo).

No comments:

Post a Comment