Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, July 15, 2013

TAZAMA PICHA JINSI MANCHESTER UNITED WALIVYOWASILI SYDNEY


Pen to paper: Ryan Giggs signs autographs for fans in Sydney as Manchester United arrivedAnamwaga wino: Ryan Giggs akisaini kitabu cha kumbukumbu cha shabiki wa United mjini Sydney baada ya  Manchester United kuwasili 
Scenic: Giggs inspects his phone after taking a picture of the Sydney Opera HouseGiggs akiangalia simu yake baada ya kupiga picha ya  Sydney Opera House
Here we go: Giggs arrives for the Manchester United press conference at the Museum of Contemporary ArtHapa ndipo tunaenda: Giggs akiwasili sehemu ambayo mkutano na waandishi wa habari uliandaliwa
Capture the moment: David Moyes takes a photo of Sydney Harbour prior to the press conferenceAkichukua kumbukumbu: David Moyes alipiga picha bandari ya Sydney wakati akijiandaa kwenda katika mkutano na waandishi wa habari
Snap that: Moyes uses his phone to take a picture of one of Australia's great sightsHii siiachi: Moyes akitumia simu yake ya mkononi kupiga picha baadhi ya maeneo mazuri nchini Australia 
On camera: Rio Ferdinand records a video as Manchester United depart from the airportSio uwanjani tu: Rio Ferdinand akirekodi video wakati United wakiondoka uwaja wa ndege
Move along: United players prepare to face the A-League All StarsWanasepa uwanjani: wachezaji wa United wanajiandaa upambana na A-League All Stars 
Say cheese: Giggs poses for a picture with a fan at Sydney International AirportGiggs akila pozi na shabiki wa United katika uwanja wa ndege wa Sydney 
It's time to talk: Moyes and Giggs address the media in AustraliaMuda wa kuzungumza: Moyes na Giggs wakiongea na waandishi wa habari nchini Australi
Stunning backdrop: Ferdinand, Michael Carrick, Moyes and Giggs smile for the camera Ferdinand, Michael Carrick, Moyes na Giggs wakiwa katika picha ya pamoja

No comments:

Post a Comment