Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, July 17, 2013

TIKISA FILAMU MPYA KUTOKA NISHAs FILM


TIKISA ndio filamu inayofanya vizuri sana sasa hiv na hii sio mara ya kwanza kwa NISHAs film production kutoa filamu kali kwani tulitoa pusi na paku ikafanya vizuri sana katika tasnia ya filamu sek naomba msaada wa kuitangaza hii habari ili kutupa kampani kwenye kampuni yetu changa ambayo inafanya vizuri hii kwa hisani mkurugenzi salma jabu nisha

No comments:

Post a Comment