Diamond Platinumz ametoa picha nyingine
ambayo inawaonyesha yeye na ndugu yake Romie Jones wakiwa wadogo, kuna
picha kadhaa ameshawahi kuzitoa na zilionekana hapahapa millardayo.com.
ambapo leo icheki hii picha tena kwenye enzi zao za utotoni wakiwa na
baiskeliya kitoto ambayo ni moja ya vitu
vikubwa sana kwa mtoto kuwa nayo kwa kipindi hicho, kwa wale mliokuwa
nazo kama hizi BMX najua tunaelewana… ilikua nomaa
KIONGOZI WA MWENGE AMPONGEZA CHUSA UJENZI WA WODI
-
Na Mwandishi wetu, Mirerani
MWENGE wa uhuru umeweka jiwe la msingi kwenye wodi ya wanawake na watoto
katika kituo cha afya Mirerani Wilayani Simanjiro M...
9 hours ago




No comments:
Post a Comment