Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, July 24, 2013

WAKAZI WA ENEO LA TENGWE TANGA WASHINDWA ZOEZI LA HATARI LA KUCHOTA MAFUTA NI BAADA YA GARI HILO KUDONDOKA KATIKA ENEO HILO.

 Mmoja wa vijana akiwa na Panga kubwa huku akijitahidi kuzuia watu wasipate nafasi ya kuiba mafuta hayo, Kwa mbali kuna vijana wanaonekana eneo la tukio wakitaka chukua mafuta hayo.
 Gari la ziada la Mafuta likiwa limefika eneo la Tukio ili kuyachota mafuta hayo

 Hivi ndivyo Lori hili la Mafuta lilivyo pata ajali huku haikufahamika kwa mara moja kuwa ilikuwa ni Mali ya nani
 Baadhi ya Askari wa Jeshi la Polisi pamoja na wa Usalama wa Barabarani wakiwa wanahakikisha usalama
 Baadhi ya Vijana wakiwa wanatamani kwenda kuchota mafuta katika eneo hilo
 Hivi ndivyo vijana wengine wakiwa nao wanangoja kwa hamu kwenda kuchota mafuta
Picha zote na Tanga Yetu Blog

No comments:

Post a Comment