Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda (wapili kushoto)akitazama kazi za mikono alizozawadiwa na wanawake waLituhi wilayani Nyassa akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 17,2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizenfo pinfa akiwapungia wananchi wa kijiji cha Kiagara wilayani
nyassa akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 18, 2013. Kulia ni
mkew Tunu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Msanii wa Kikunidi cha Muungano cha Mbambabay wilaybi Mbinga , Jaji Mbele akipiga Ngoma wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
alipohutubia mkutano wa hahara katika mji mdogo wa Mbambabay akiwa
katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 17,2013. (Picha na Ofisi ya Wairi
Mkuu)

No comments:
Post a Comment