Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza katika majumuisho ya ziara yake ziara
ya mkoa wa Njombe, Julai 14, 2013. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Njombe,
Kapteni Msangi. Na wa wapii kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo,
Deo sanga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Mkuu wa wilaya ya Njombe, Sarah Dumba
baada ya kumaliza ziara ya kikazi mkoani Njombe Julai 14, 2013. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)Mke
wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza wakati Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda alipopokea taarifa ya mkoa wa Ruvuma baada ya kuwasili
kwenye Ikulu Ndogo ya Songea kwa ziara ya siku nane mkoani humoJulai
14,2013.Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Thabit Mwambungu.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
WAZIRI NDUMBARO-PROGRAM YA MAMA SAMIA LEGAL AID NI MKOMBOZI KWA WANYONGE
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma
WAZIRI wa Katiba na Sheria Mhe Dkt Damas Ndumbaro ameeleza kuwa katika
Mikoa 11 waliyopita katika Kampeni ya Mama Sami...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment