Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, August 28, 2013

AFYA:- FAIDA YA JUISI YA UKWAJU.

~~~FAIDA YA JUISI YA UKWAJU.~~~ 

1) Chanzo kizuri cha viuasumu mwilini 'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani (cancer) 
2) Chanzo cha Vitamini B na C vile vile "carotentes" 
Hushusha joto la mwili na kuondosha homa, h asa homa ya malaria na homa ya matumbo 
3) Huulinda mwili dhidi ya mafua na kero za mafua kooni 
Husaidia myeyusho na mmengenyo wa chakula na kuondosha kuvimbiwa 
4) Husaidia kutibu matatizo ya nyongo (bile disorders) 
5) Husaidia kurahisisha choo (laxative) 
6) Husaidia kupunguza wingi wa lehemu (cholesterol) na hivyo kuimarisha moyo 
7) Husaidia ngozi kuwa nyororo, vile vile husaidia ngozi inayopona baada ya kuungua au yenye vidonda 
8) Husaidia kuua minyoo tumboni (kwa watoto wadogo)
9) Husaidia ngozi kuwa nyororo, vile vile husaidia ngozi inayopona baada ya kuungua au yenye vidonda 
10) Husaidia kuua minyoo tumboni (kwa watoto wadogo).

FAIDA YA JUISI YA UKWAJU.~~~

No comments:

Post a Comment