Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, August 28, 2013

HUU NDIO MUONEKANO WA SASA WA MSANII NGULI CRAZY GK



Baada ya kupotea kwenye muziki kwa muda mrefu sana Crazy Gk amerudi kwa kishindo na kuzindua wimbo wake mpya huku akisindikizwa na timu ya East Coast Team.
Sababu kubwa iliyopelekea King Crazy Gk kupotea kwenye game kwa muda mrefu ni kwamba msanii huyu alikuwa kwenye masomo akitafuta degree.

No comments:

Post a Comment