Umati wa watu uliojitokeza ghafla baada ya ajali hiyo kutokea hapo jana maeneo ya Temeke Sudani
gari ndogo aina ya Nissani likiwa limesukumwa kabisa hadi nje ya barabara na basi lililofeli kushika brake
Nissani ilipokuwa brake ya basi hilo hapo jana Maeneo ya Temeke Sudan
Hilo ndio basi la Mrisho Investment lililofeli brake na kugonga gari ndogo aina ya Nissani
Gari aina ya Pajero likiwa
limesukumwa hadi nje ya barabara baada ya basi hilo kufeli brake na
kugonga gari ndogo hadi nje ya barabara
Wadau wakiangalia ajali hiyo iliyotokea temeke jana
Mwenye gari ndogo aina ya
Mistubishi Pajero (mwenye Tshirt Nyeusi) lililogongwa na Basi akielezea
jinsi alivyoweza kusukumwa kutoka barabarani hadi nje ya Barabara na
basi lililofeli brake na kupitiliza hadi kugonga gari ndogo aina ya
Nissani
Wakazi
wa Temeke Wakiangalia basi lililoacha njia na kugonga gari ndogo aina
ya Nissani hapo jana Temeke Sudani.Hakuna Aliyejeruhiwa wala Kuumia
No comments:
Post a Comment