Ukitaja Kim Kardashian na Kanye west lazima watamjumuisha na Jina la mtoto wao North west, Ingawa apo mwanzo apakuwa na taswira ya mtoto huyo muonekana wake ukoje. Ilitegemewa picha za mtoto North ndizo zingeuzwa ghali zaidi kwakuwa magazeti tofauti yalifika dau ya kupata picha za mtoto huyu ambae hadi sasa ana miezi 2. Lakini chakushangaza mwanadada Kim aliachia picha ya mwanaye huyo wa kike kwenye mtandao wake wa Twitter na kufanya ndoto za majarida nguli duniani kuishia kwenye hewa pasipo kuwa na mafanikio..... itazame picha hiyo hapa mtoto North West anaonekana ni mwenye Afya tele....Na kwa kumuangalia labda sema wewe anafanana na nani........???
Angalia picha zote alafu,tiririka na maoni yako hapo chini..... |
No comments:
Post a Comment