Meza
yetu ya habari imepokea taarifa ya ajali ya ndege iliyoipata moja
ndege za Kampuni ya Tanzanair iliyokuwa inafanya safari yake toka
Bukoba kuelekea Zanzibar ikiwa na abiria sita na rubani. Kutokana
na maelezo ya mmoja wa abiria , Ndege hiyo inasemekana
kuanguka mapema leo katika ziwa Manyara, hadi tunaandika habari hii ndege hiyo bado ilikuwa unaelea majini , na taarifa za uhakika ni kuwa rubani na abiria wote wako salama hadi sasa. Taarifa zaidi zimetujuza kuwa kuna boti imetoka Serena kwenda kuwaokoa.

SOURCE-CHINGA ONE
No comments:
Post a Comment