Mwili wa Erasto Msuya na mmiliki
wa SG HOTEL mkoani Arusha mara baada ya kupigwa risasi zaidi ya sita na watu wasioj
ulikana na
kufa papo hapo.Askari wakichunguza tukio la kupigwa kwa risasi kwa mfanya biashara huyu.
Mwili
kulia mara baada ya kupigwa risasi na kulia ni gari la kifahari aina ya
langer lover eneo linalodaiwa kupigwa risasi mfanyabiashara huyu.
Picha kwa hisani ya mdau Mutoto wa Arusha.
Picha kwa hisani ya mdau Mutoto wa Arusha.
Habari zilizotufikia hivi punde Kutoka chumba chetu cha habari zinaeleza kuwa mmoja wa Wafanyabiasha wakubwa wa Madini jijini Arusha aliyejulikana kwa jina la Erasto Msuya na pia ni mmiliki wa SG HOTEL mkoani humo, amepigwa risasi zaidi ya sita na watu wasiojulikana na kufa papo hapo.
Habari zinaeleza na kubainisha zaidi kuwa Marehemu alikuwa akitokea KIA kwenda BOMA ambako alikuwa ameitwa na watu (ambao hawakujulikana mara moja) ili wakafanye biashara.
Habari zaidi tuvute subra
kidoogo,tutazidi kufahamishana kadiri ya taarifa zitakapokuwa zikiingia.
Mungu ailaze roho ya marehemu
mahali pema peponi-Amen.
Daaa, Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amina! tunasubiri updates zaidi.
ReplyDeletekaribu sana marcodenis endeleakuwa nasi
ReplyDelete