Kamishna
Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Magereza, Mlasani Kimaro akinyanyua juu
Kikombe cha Zawadi ya Mshindi wa kwanza wa jumla katika Maonesho ya
Wakulima-Nane Nane baada ya kukabidhiwa na Mgeni rasmi Makamu wa Pili wa
Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Iddi katika Kilele
cha sherehe za Maonesho ya Nane Nane Kitaifa, yaliyofanyika Uwanja wa
Nzuguni, Dodoma.(Picha na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
MTAALAM SEKTA YA MAFUTA DK.SAJAD RAI AMPONGEZA MAKAMU WA RAIS NDEJEMBI
-
Na Mwandishi Wetu
MTAALAM katika Sekta ya Mafuta nchini Dkt Sajad Habib Rai amempongeza
Makamu wa Rais Ndejembi kwa kuapishwa kwake kushika nafasi hiyo hu...
10 hours ago

No comments:
Post a Comment