Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, August 8, 2013

Tp mazembe yamtema patrick ochan



ochan c79ff
Takribani miaka miaka mitatu tangu asajiliwe kwa mamilioni ya fedha kutoka klabu ya Simba ya Tanzania, kiungo wa kimataifa wa Uganda Patrick Ochan ametemwa na klaby yake ya TP Mazembe, kutokana na kutokidhi mahitaji ya klabu hiyo. (HM)
Ochan, kwa pamoja na mganda mwenzie Mike Mutyaba ambaye alisajiliwa kutoka El Merrick, wameripotiwa kurudi kwao Uganda kwa sasa wakati TP ikiwa bado ianshiriki kwenye michuano ya CAF.
Kwa mujibu wa mtandao rasmi wa TP Mazembe, wachezaji hao wawili wameruhusiwa kutafuta timu za kucheza za mkopo.
Ochan, tayari amehusishwa kutaka kujiunga na klabu ya KCCA kwa mkopo na tayari wameshaaanza mazungumzo, KCCA inashiriki michuano ya CAF Champions League msimu. Chanzo: shaffihdauda

No comments:

Post a Comment