Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, August 27, 2013

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU BUNGENI LEO


IMG_0407Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge  wa Mbinga Magharibi Capt. John Komba, bungeni mjini Dodoma Agosti 27,2013. (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu)
IMG_0409Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka  bungeni mjini Dodoma Agosti 27, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
IMG_0432Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,  ambaye pia ni Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo kwenye viwanja vya bunge Mjini Dodoma AGOSTI 27,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment