Army Nando awasili Los Angeles, California.
Mpiganaji Davis Mosha, Edgar D. Mosha, Mayor wa L.A. Deo Temba (Katikati nyuma) na Army Nando.
Mpiganaji Davis Mosha akimpa ushauri Army Nando kuwa asahau yaliyopita
na aangalie ya mbele na kumweleza kuwa hiyo ilikuwa ni mchezo tu (It was
just a game)
Nancy Assenga ( Mama wa Army Nando), Army Nando, na Deo Temba L.A. Mayor.
Mayor
wa L.A. Deo Temba, Army Nando, Nancy Assenga (Mama na Meneja) na
Mkurugenzi mtendaji wa Swahili TV Bwana Alex Kassuwi mara baada ya
kumpokea Nando Los Angeles, California.
Juliet Luangisa, Army Nando na Nancy Assenga (Mama na Meneja wa Nando)
Mkurugenzi
Mtendaji Swahili TV Bwana Alex Kassuwi, Army Nando, Walter Minja, Deo
Temba na Nancy Assenga-Meneja wa Nando wakiwa na nyuso za furaha mara
baada ya kumpokea Army Nando Marekani.
Mpiganaji
"THE CEO" Davis Mosha katika msafara aliwakaribisha pia chakula cha
jioni watanzania zaidi ya ishirini katika hoteli ya bei ghali L.A. Yard
House ambayo ipo Downton katikati ya Uwanja wa Lakers (Staples Center)
na JW Marriott Hoteli.
Army Nando na Nancy Assenga (Mama mzazi na Meneja wake) wakifurahia chakula katika Yard House Hoteli Downtown L.A.
Mayor wa L.A. Deo Temba naye aliwakilisha jiji lake.
Juliet Luangisa na Walter Minja wakiburudika kwa misosi ya Yard House.
Mahojiano........
Mahojiano......
Mahojiano, yakiendelea.
Nando, akihojiwa na Swahili Tv
No comments:
Post a Comment