Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, August 3, 2013

MWONEKANO WA USIKU KITUO CHA DALADALA MAKUMBUSHO BAADA YA KUANZA KUFANYA KAZI,INGAWA KUNA MAPUNGUFU.

SEHEMU YA MWISHO IKIWA HAIJAMALIZIWA KUWEKWA VITOFALI





Kituo cha mabasi cha makumbusho kimeanza kufanya kazi rasmi,ikiwa mgari ya posta,mabibo,ubungo na kivukoni yanayopita njia ya mwananyamala ni lazima yapite hapo kushusha na kupakia abiria.Hii itakuwa ni faraja kwa wafanya biashara wengi wa eneo la makumbusho baada ya kulalamika kituo kianze kufanya kazi kwa takribani miaka 4 nyuma.Angalizo kituo kimeanza kufanya kazi ingawa baadhi ya maeneo ujenzi haujakamilika ipasavyo.
                                                 PICHA ZOTE NA DJ SEK BLOG

No comments:

Post a Comment