Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, August 30, 2013

PICHA::Diamond amkabidhi Mzee Ngurumo gari

DIAMOND SHOW 020-1 8998c
Msanii Diamond Platnum amefanya kufuru usiku huu kwa kutoa zawadi ya Gari kwa Mzee Ngurumo Mwanamziki wa miaka mingi na mkongwe nchini aliyestaafu majuzi kufanya kazi za mziiki.(P.T)
Tukio hilo limetokea usiku huu ndani ya ukumbi wa SERNA HOTELkatikati ja jiji la DSM ambapo Diamond Platnum anazindua video yake ya wimbo wa #one fun.
DIAMOND SHOW 025 b03d6
Mzee Ngurumo amesema"Haamini macho na masikio yake,hanachakusema zaidi ya ASANTE kwa msanii huyo"Lakini pia amesema hajui hata mke wake atasemaje baada ya kumwona akiingia na gari ndani ya nyumba yake.
Mzee ngurumo amekuwa na matatizo ya kiafya siku za karibuni nakupelea kustaafu mziki kabisa.Wazee wa msondongoma ndio wanajua makali ya Mzee Ngurumo.

No comments:

Post a Comment