Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, August 28, 2013

PONDA ALIVYOPANDISHWA KIZIMBANI MKOANI MORO LEO


 
Sheikh Ponda Issa Ponda akifikishwa mahakamani akiwa chini ya ulinzi.
 
Sheikh Ponda akiwa kizimbani leo.
Baadhi ya wananchi waliofika mahakamani.
Sheikh Ponda akirudishwa kwenye Karandinga baada ya kesi yake kuhairishwa.
Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama  ya Hakimu Mkazi mkoani Morogoro kujibu mashitaka yanayomkabili.
(PICHA NA DUSTAN SHEKIDELE GPL, MOROGORO)

No comments:

Post a Comment