skip to main |
skip to sidebar
Rais DKT. Shein amtembelea Mfugaji wa Ng’ombe wa Maziwa
Waziri
wa Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban,akitia saini
na Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Mafuta ya Shell ya uholanzi na
Serikali za Afrika Mashariki Axel Knospe,(kushoto)makubaliano ya
ushiriano katika sekta ya gesi na mafuta katika ukumbi wa ofisi ya
kampuni hiyo Mjini Uholanzi alipokuwa katika ziara ya Kiserikali,ujumbe
ulioongozwa na Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi
Dk.AliMohamed Shein.[Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.]
Waziri
wa Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati Ramadhan Abdalla
Shaaban,akibadilishana hati ya makubaliano baada ya kutia saini na
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Mafuta ya Shell ya uholanzi na Serikali
za Afrika Mashariki Axel Knospe,(kushoto)makubaliano ya ushiriano katika
sekta ya gesi na mafuta katika ukumbi wa ofisi ya kampuni hiyo Mjini
Uholanzi alipokuwa katika ziara ya Kiserikali,ujumbe ulioongozwa na Rais
wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.AliMohamed Shein.[Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Mkurugenzi wa Kituo cha habari kwa wafugaji wa
Ngo’mbe wa maziwa Reimond Van Gent,alipofika kuangalia familia ya
ufugaji wa Ngo’mbe wa maziwa na utengenezaaji wa Jibini (Cheese) akiwa
katika ziara nchini Uhiolanzi .[Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.]
Hivyo
ni vinoo vya Jibini (Cheese) vikiwa tayari kwa kuuzwa kwa watumiajai
mbali mbali ambavyio vimwetengenezwa na Kaasboerderij captein, ambapo
familia ya Watu wanne wenye kufuga Ngo’mbe wa maziwa katika mji wa
Uholanzi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,alipotembelea eneo hilo akiwa na ujumbe wake.[Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,akipata maelezo kutoka kwa Frank Captein,namna ya utengeneza ji
wa Jibini (Cheese)alipotembelea eneo hilo akiwa na ujumbe wake.[Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,akipata maelezo kutoka kwa Frank Captein,wakati alipotembelea
katika eneo maalum lililohifdhiwa Jibini (cheese) iliyokuwa
imehifaddhiwa tayari kwa mauzo.[Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,akipata maelezo kutoka kwa Frank Captein,wakati alipotembelea
ndama wadogo jinsi wanavyolelewa katika famili ya BW.Captein,Nchini
Uholanzi akiwa katika ziara ya kiserikali na ujumbe wake.[Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.]
Ng’ombe
wa Maziwa wanaofugwa na Familia ya BW.Captein jinsi wanavyopata matunzo
na huduma bora za kiufugaji ,takribana Ngo’mbe hawa wanatoa Lita nyingi
sana za maziwa ndiyo ambayo hutengenezewa hiyo Cheese au Jibini,[Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,(katikati) akifuatana na ujumbe wake walipotembelea katikaa kituo
cha ufugaji wa ngombe wa maziwa kwa Familia ya Bw.Captein Nchini
Uholanzi katika ziara ya Kiserikali. [Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.]
No comments:
Post a Comment