Pipa likiwa limeja taka
Tunawapongeza sana manispaa ya Kinondoni kwa wazo la kuweka mapipa ya taka katika vituo vya mabasi.Ila shida ni moja mapipa hayo yanawekewa taka mpaka yanajaa na hazitolewi kwa mda,kutokutolewa kwa mda taka izo husababisha kuanza kudondoka tena na mwishowe kusababisha uchafu tena.Maoni kuwe na usimamizi mzuri wa taka izo kutolewa kwa mda.PICHA NA DJ SEK BLOG
PICHA ZOTE NA .PICHA NA DJ SEK BLOG
Msajili wa Hazina aomba ushirikiano wa PIC kuimarisha mageuzi ya uwekezaji
wa umma
-
Na Mwandishi wa OMH
Dodoma. Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) leo, Januari 15, 2026 imeendesha
semina maalumu kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa ...
1 hour ago




No comments:
Post a Comment