Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, August 19, 2013

SAD NEWZ::MTAWA AVAMIWA NA KUJERUHIWA VISIWANI ZANZIBAR



HABARI nilizozipata punde kutoka Zanzibar zinasema Mtawa Mkatoliki ameshambuliwa na kuumizwa vibaya humo katika eneo linalodaiwa kuwa ni jirani kabisa na alipopigwa risasi Padri Mushi na kuuawa.
Chanzo kinadai kuwa ni mbwa wa masister hao kumng'ata kuku wa majirani ndipo kundi la vijana wenye mapanga na marungu wakamvamia mtawa na kumuumiza.Chanzo:JAMIIFORUM

No comments:

Post a Comment