Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, August 28, 2013

TAZAMA PICHA KING CRAZY GK AKIWA NA TEAM NZIMA YA EAST COAST KUMPA SUPPORT GK KWA UJIO WAKE MPYA

AY, Mwana FA, Snare,Buff G na Pauline Zongo wote leo wameungana kumpa support King Crazy GK aliyekuwa akitambulisha ngoma yake mpya na ujio wake baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu. Ngoma hiyo imetambulishwa kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM. bd199e3e0fdf11e39ad222000a1f97a2_7 ECT wakiwa na watangazaji wa XXL, Clouds FM BSwb0VgIMAEKJp_ GK akiongea b3c7036c0fdf11e387e522000a1fbae1_7

No comments:

Post a Comment