Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, August 28, 2013

Ziara ya Rais Dr. Shein nchini Uholanzi


IMG_2462Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamo wa Rais pia Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari ya Rotterdam,Rene Van Der Plas,alipotembelea katika bandari hiyo  akiwa katika Ziara ya siku tano na ujumbe wake, nchini Uholanzi, {Picha na Ramadhan Othman Uholanzi]. IMG_2496 Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha Mitambo ya usambazji wa Gesi inayotumika katika nchi za ulaya,(GATE TERMINAL) Dick Meurs,alipokuwa akitoa maelezo kwa Ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,ukioongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika ziara nchini Uholanzi.  [Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.] IMG_2524Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)na ujumbe wake wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha Mitambo ya usambazji wa Gesi inayotumika katika nchi za ulaya,(GATE TERMINAL) Dick Meurs,walipofika katika Ofisi za Kituo hicho huko katika Bandari ya Rotterdam,nchini Uholanzi katika ziara ya siku tano. [Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.] IMG_2542 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)na Mawaziri pamoja na Balozi Dr.Diadorus B. Kamala,(wa pili kulia)wakizungumza na Makamo wa Rais pia Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari ya Rotterdam, Rene Van Der Plas,walipokuwa katika Boti walipoitembelea Bandari ya Rotterdam Nchni Uholanzi wakiwa katika ziara ya siku tano nchini humo.[Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.] IMG_2550 Baadhi ya Meli za Mizigo kutoka Nchi mbali mbali ikiwemo China,ni miongoni mwa Meli zinazotia nanga katika Bandari ya Rotterdam, Nchini Uholanzi kama inavyoonekana pichani ikiwa imesheheni makontena yenye Bidhaa mbali mbali. .[Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.] IMG_2558 Baadhi ya Meli za Mizigo kutoka Nchi mbali mbali ikiwemo China,ni miongoni mwa Meli zinazotia nanga katika Bandari ya Rotterdam, Nchini Uholanzi kama inavyoonekana pichani ikiwa imesheheni makontena yenye Bidhaa mbali mbali. .[Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.] IMG_2565Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akiwa na wawakilishi wa Makampuni    yanayotaka kuwekeza Zanzibar wakiwa katika mazungumzo ya kujadili nanama ya kufikia hatua za kuwekeza  Nchini,wakati alipokuwa katika ziara Nchini Uholanzi itakayochukua siku tano,ambapo atatembelea sehemu kadhaa za kimaendeleo katika nchi hiyo. [Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.] IMG_2623 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) na ujumbe wake wakipata maelezo ya ramani ya Ujenzi wa Bandari na Mpango mzima wa utendaji kazi kutoka kwa Makamo wa Rais pia Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari ya Rotterdam, Rene Van Der Plas,  alipotembelea katika Ofisi za Bandari hiyo  akiwa katika Ziara ya siku tano  nchini Uholanzi na ujumbe aliofuatana nao. [Picha na Ramadhan Othman Uholanzi]. IMG_2634 IMG_2640Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha na Mfalme wa Uholanzi Willem Alexander,alipomtembelea kat5ika makazi yake nchini Uholanzi,rais akiwa katika ziara ya siku tano.    [Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.] IMG_2649Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wawakilishi wa Makampuni wakati alipowasilim katika Chakula cha jioni kilichoandaliwa na Famili ya Mfalme panoja na makampuni nchini Uholanzi akiwa katika ziara ya siku tano nchini humo. [Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.]

No comments:

Post a Comment