Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, August 29, 2013

TUPIGIE KURA YAKO ILI TUWEZE KUIBUKA WASHINDI KWENYE MASHINDANO YA BLOGU,SOMA MAELEKEZO YOTE HAPA


         


Wasomaji na wafuatiliaji wa blog ya dj-sek.blogspot.com tunapenda kuwafahamisha kuwa Blogu yetu itashiriki katika shindano la blog Katika vipengele Vifuatavyo
Best Entertainments
Best News Blog
Best Educational Blog
Best General Blog


 Jinsi ya kufanya
1. Nenda sehemu ya kuandika ujumbe (email), yaani sehemu ya Email yako unapo compose kisha Andika 
Subject:- http://dj-sek.blogspot.com/
Sehemu ya kuandika ujumbe/Post:-  Andika hivi vipengele
Best Entertainments
Best News Blog
Best Educational Blog
Best General Blog


 
Kwa maelezo zaidi na vipengele vingine ingia/bofya tanzanianblogawards

UNAWEZA KUFANYA YAFUATAYO
3. Unaweza kupendekeza blog katika vipengele vingi upedavyo lakini katika kila email unayotuma ni blog moja tu utaruhusiwa kuipendekeza kwa wakati mmoja


Kwa mfano:  Kwenye subject unaandika jina la blog unayotaka kuipendekeza 
yaani

             
dj-sek.blogspot.com

Kwenye body ya email unaandika vipengele unayotaka blog hii ishirikishwe


Best Entertainments
Best News Blog
Best Educational Blog
Best General Blog



4. Email iwe ni ya ukweli kama tukiwa tunataka kuwasiliana na wewe kuhusu link ya blog uliyopendekeza tuweze kufanya hivyo na tuma mapendekezo yako kwa hii hapa


nomination@bloggersassociationoftanzania.com
    au tanzanianblogawards@gmail.com

5. Mwanzo wa kupokea mapendekezo hayo ni
Tarehe 17/8/ 2013 saa 12:01am mpaka tarehe 02/9/2013 saa 11:59pm saa za Afrika mashariki

 
:::::UKIWA KAMA MPENZI NA MFUATILIAJI WA BLOGU YETU HII TUNAOMBA UTUME MARA NYINGI UWEZAVYO ILI TUWEZE KUINGIA KWENYE MASHINDANO HAYA NA KUIBUKA WASHINDI,TUNATANGULIZA SHUKRANI ZETU.

No comments:

Post a Comment