Marais wa Burundi, Uganda na Rwanda,
wameudhuria ufunguzi wa bandari ya Mombasa, Kenya leo! Wapo pia na
wenyeji wao President Kenyatta na Bwana Rutto!
Museveni kahudhuria kwa kiti chake cha
Uenyekiti wa EAC, ndivyo Kagame alivyomtambulisha. Pia Kagame anasema
hiyo ndio faida ya Integrated East Africa Community, pia Miundombinu
bora ya Bandari ya Mombasa, itaunganisha nchi zote za East Africa.
Kenyata anasema Mombasa ni Gate way of East
African Business. Anasema ni manifesto ya serikali yake kuifanya
bandari ya Mombasa kuwa busy and friendly port in all over East Africa
coastline
Nini hatima ya bandari ya Dsm na siasa
zake? Siasa za Kenya hizo wamezindua bandari mpya leo, na wanasema
Sudan, Ethiopia na Somalia watatumia bandaria hiyo pia.
No comments:
Post a Comment