Wakicharazwa viboko na mgambo baada ya kukamatwa.
Fimbo
hizo ni silaha walizokuwa wakizitumia kukaidi sheria bila shuruti na
kujeruhi kila aliyewakaribia huko Chilulumo wilaya ya Momba mkoani
Mbeya.
Watu
wanaotuhumiwa kumwua punda na kisha kumtupa kwenye mto ambao wananchi
wa kando kando wanayatumia maji yake kwa shughuli mbalimbali huko Momba,
Mbeya, wamekamatwa na kuadhibiwa vibaya kwa kucharazwa viboko na
mgambo.
-Via Kalungula
No comments:
Post a Comment