Baadhi ya
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya a.k.a Bongo Fleva, ambao wapo safarini
kuelekea mkoani Kigoma kwa ajili ya kushambulia jukwaa la Tamasha la
Fiesta 2013, linalorajia kufanyika Agosti 17, kwenye Uwanja wa Lake
Tanganyika mkoani humo, wakiwa kwenye Makaburi ya Kihonda katika kaburi
la Msanii mwenzao, Marehemu Albert Mangwea, leo asubuhi, nje kidogo ya
mji wa Morogoro, walipofika kuzuru kaburi hilo na kumuombea dua. Mungu
ailaze roho ya marehemu Mangwea, mahali pema peponi-Amen
KAMATI YA BUNGE TAMISEMI YAKOSHWA UJENZI SHULE YA GHOROFA YA KATA YENYE
LIFT ILALA
-
NA MWANDISHI WETU
KAMATI ya Kudumu ya Bunge Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali
za Mitaa (TAMISEMI) imempongeza Rais Dk. Samia Suluhu Hassan...
5 hours ago



No comments:
Post a Comment