Mkuu wa
wilaya ya Urambo Bi.Anna Magoha wakati akisoma hotuba kwa niaba ya mkuu
wa mkoa wa Tabora katika sherehe za Mei Mosi Uwanja wa Ally Hassan
Mwinyi mwaka jana
Serikali
ya rais Jakaya Kikwete imepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa mkuu wa
wilaya ya Urambo Bi Anna Magoha kufariki dunia dakika chache jioni hii.
Kwa taarifa za kuamikika kutoka kwa
rafiki wa karibu mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Moto kabati
(CCM) ambazo mtandao huu wa www.francisgodwin.blogspot.com umezipata
zinadai kuwa mkuu huyo wa wilaya amefariki jioni hii akiwa njiani
kukimbiza Hospitali ya taifa ya Muhimbili.Marehemu alikuwa ni mkazi wailaya ya Kilolo mkoa wa Iringa
Habari kamili itaendelea kukujia
No comments:
Post a Comment