Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, September 2, 2013

EXCLUSIVE PHOTOS::TAZAMA JINSI UZINDUZI WA VIDEO MPYA YA JUX UZURI WAKO ULIVYOFANA CLUB BILICANAS.


Siku jana msanii ambaye anapiga kitabu pande za China “Jux” alifanya bonge la birthday party pamoja na kuzindua rasmi kichupa cha “uzuri wako”.
Uzinduzi huo ulifanyika club Billcanas huku washabiki wakishudia wasanii kama Dully aka Mr Misifa, Vanessa Mdee, Rich Mavoko, Cyril wakitoa support kwa jux pamoja na kuburudisha mashabiki waliojitokeza kwenye tamasha hilo.

Tazama picha ili kuweza kujua jinsi show ilivyokuwa ya kipekeee.







No comments:

Post a Comment