Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, September 12, 2013

HEEEEE: SAMAKI MWENYE UWEZO WA KURUDISHA HESHIMA YA NDOA KWA MDA MCHACHE NDANI YA NYUMBA HUYU HAPA PICHANI

!


Endapo utafanikiwa kumla samaki huyu mwenye gamba gumu anayekwenda kwa jina la Oyster basi utakuwa na asilimia 99 ya kuongeza nguvu za kiume ndani ya dakika 10.
Samaki huyu atakurudishia uwezo wako wa zamani kabla mambo hayajaanza kukuharibikia, tena dawa hii ni salama kwa kuwa ni kama chakula tu.

Mtaalamu wa mapishi kutoka Culinary Chamber kwa moyo mkunjufu ameamua kushare nasi habari hii njema. Huna nguvu za kutosha kufanya tendo la ndoa? Unakosa kabisa hamu ya kufanya tendo la ndoa? Perfomance imeshuka? "Basi tatizo lako ni 'low T' au low testosterone," na ni tatizo kubwa kwa wanaume wengi.

Testosterone ni hormone inayozalishwa katika vifuko vya mbegu za uzazi wa mwanaume, inasaidia sana sana katika kuhamasisha uwezo na msukumo wa tendo la ndoa. Inasaidia sana pia kumaintain strong bones, muscle mass and strength,
Testosterone inaanza kujitengeneza na kuongezeka katika mwili wa mwaume wakati wa adolescence na unapopevuka, na hupoteza ubora au kushuka kiwango hasa pale unapofikia umri wa miaka 30 kwa kiwango cha asilimia 1 kila mwaka.  Kukosa ubora au kushuka kwa kiwango kunasababishwa na stressau mzongo wa mawazo ya maisha, mlo usio kamili, obesity na sababu nyingine. Inaposhuka ndio balaa inapoanza nawe kukosa hamu au kupungukiwa nguvu za tendo la ndoa mfano uume kutosimama imara na kukosa hamu pengine hata kufanya tendo chini ya kiwango kabisa na kusababisha kutomridhisha mwezi wako.
Oysters wana Protein, magnesium na madini ya zinc  kwa wingi sana kuliko chakula chochote duniani, ambayo zinc hiyo inasaidia sana kuongeza testosterone, kukuimarisha na kukuza misuli katika mwili, ukakamavu wa hisia za kimwili na kuzalisha manii ya kutosha (sperm). Chakula kingine chenye zinc nyingi kinachoweza kukusaidia ni maini ya kuku na mbegu za maboga.

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Juu, ni hatua za kumwandaa samaki huyo
 
Unaonahiyo nyama baada ya kumfunua samaki huyo

Mtaalamu anasema ukiona kinyaa wakati wa kumla, basi weka chumvi na limao kisha umle taratibu, lakini pia unaweza kumwagia balsamic vinegar au siki kuongeza ladha.

Dozi: vipande viwili au vitatu vinatosha kabisa kwa dozi moja na inashauriwa kula mara moja kila baada ya wiki moja. Kama kumla akiwa mbichi inakupa tabu basi nunua wale wa kwenye makopo au wa kuchemsha lakini chonde chonde usile wale wa BBQ au wa kukaanga. Baada ya kazi muulize wife atakupa majibu!!!

Chanzo: activechef

No comments:

Post a Comment